- 523
- 2 927 176
Rev Moses MagembeTv
Tanzania
Приєднався 24 гру 2018
The official UA-cam channel for Rev Moses Magembe senior pastor at Tanzania Assemblies Of God (TAG) Majumbasita - Gospel Campaign Centre. Ukonga Dar-es-Salaam.
Mch Moses Magembe - SHUHUDA ZA WALIOPONA NA KUFUNGULIWA KATIKA MKUTANO | MAKAMBAKO
Mch Moses Magembe - SHUHUDA ZA WALIOPONA NA KUFUNGULIWA KATIKA MKUTANO | MAKAMBAKO
Переглядів: 5 311
Відео
Mch Moses Magembe - KUNYAKULIWA KWA KANISA | KAMPENI YA UAMSHO TANZANIA - MAKAMBAKO 07
Переглядів 50 тис.2 роки тому
Mch Moses Magembe - KUNYAKULIWA KWA KANISA | KAMPENI YA UAMSHO TANZANIA - MAKAMBAKO 07
Mch Moses Magembe - MWAKA WA BWANA ULIO KUBALIKA | KAMPENI YA UAMSHO TANZANIA - SONGWE 01
Переглядів 12 тис.2 роки тому
Mch Moses Magembe - MWAKA WA BWANA ULIO KUBALIKA | KAMPENI YA UAMSHO TANZANIA - SONGWE 01
Mch Moses Magembe - MAOMBI MAALUMU KWA TAIFA LA TANZANIA
Переглядів 4,3 тис.2 роки тому
Mch Moses Magembe - MAOMBI MAALUMU KWA TAIFA LA TANZANIA
Mch Moses Magembe | BUKENE SIKU YA 2
Переглядів 12 тис.2 роки тому
Mch Moses Magembe | BUKENE SIKU YA 2
Mch Moses Magembe - SHUHUDA | HITIMISHO LA SEMINA YA MWANZO MPYA
Переглядів 5 тис.3 роки тому
Mch Moses Magembe - SHUHUDA | HITIMISHO LA SEMINA YA MWANZO MPYA
Amena kubwa kwa Mungu mkuu
Mahubiri ni manzuri na ina uzima. Shinda yako ni Moja. Kwanini nawewe tu una hubiri je na hawa ma pastor wanao kuzunguka. Si uwapee pia wahubiri tuwasikie. Acha uchoyo wa mahubiri. Tu Nataka kuwasikia. Hawa wengine
Amina baba Mamlaka ya yesu kristo ndio fahari yetu
Barikiwa
Hio wimbo naomba mniabie Iko no.gapi,,tusishikwe na Dunia please
Sasa Baba Mchungaji Kuna Mchungaji hapa anatushauri tucheze Rhumba na wake zetu au wachumba wetu ni sawa ama . Nisamehe kwa hiyo comment kama Ina muktadha usio sahihi.
Sengerema mzee unalukaga sana
Mungu akubariki baba
Mimi nawasubiria hapa Kampala jameni
Amina,naomba link ya video ya mafundisho ya kitabu Cha luka
Amina
Asante baba Niko Kenya
Amina Baba
Jina la Bwana libarikiwe sana
Jina la Bwana libarikiwe sana
Amina ❤
Hongereni Kagera Mungu kuwafanyia fadhili
Amen
Amen Amen 🙏
Amen
Barikiwa sana baba
Amen. Kagera yote kwa Yesu
Ubarikiwe sana babu
Amen
Amen 🙏
Asante sana Baba. Ubarikiwe nakuomba Mchungaji uniombee pia katika maombi yako
Amen Amen hallelujah
Mungu akupe miaka mingi, injili hii ni hot cake.
Nimewamiss makamanda wa Yesu pigeni kazi ya Mfalme Yesu. ❤
Ibla kazi yako njema
Amina
Amen
Asante mchungaji sasa hoi ndo injili isiyo na mapungufu🎉🎉🎉
Amina ubarikiwe sana baba mungu azidi kukutumia zaid
Baba Mchungaji Mzee Magembe umesema vyema kabisa.Kanda ya Ziwa hadi Kigoma, Mpanda na Sumbawanga hali ni mbaya. Ukisikiza mauaji yanayofanywa ni huzuni kubwa.Yesu ni Jibu Baba.Congrats for thecGospel🎉.
Amen amen amen
Niko mbali namini tatizo langu limeisha kwajina la yesu
Injili imenyoka kweli kweli nimekuwa kama petro aliyejitupa kwenye maji alipomuona yesu baada ya yeye kuvua samaki kwa wingina kumwambia yesu andoka kwangu mm ni mwenye dhambi🎉🎉🎉
Amina baba
kwa Yesu ni amani
Amen
Amena sana
Amen 🙏🙏
ivi vitabu vya moses magembe vipo ..kwa wale wanao uza yaani soma biblia
Vipo vinapatikana kanisani T.A.G majumbasita
Raha sana kuwa mkristo
Amina jina la Yesu lihimidiwe
Hakika kweli from songwe itaka
Amen
Ameen baba mchungaji,ila nilikuwa natafuta mahuburi ya vitabu vya manabii wadogo vingine sivioni baba.
🎉mutumishi wangu unanijenga kiroho
Thank you Baba
Ameeen